Nape Nnauye

Kweli umenigusa mimi natoa hapa Elimu yangu std 7,kazi taxi driver jamii naisidia kuwamwaminifu katika kazi yangu nawajibika kueleza wasifu wangu! Ukiwa muungwana tuambie na wewe elimu yako na kazi yako!ukishindwa hili ntakuona bado wewe ni kiazi!!!kwakutetea ujinga mahali panapohitaji kujadiliwa kwani mtu wanayemjadili ni mtu maarufu katika jamii!Mean public figure!
 
Mzumbe nitawi la CCM!nani anakataa???walipogoma majuzi wakwanza kuhojiwa eti ni wafuasi CDM!!na watu nawafahamu wote ni makada wa CCM wameanzia Mzumbe!kwa Nape kuhongwa Digree si ajabu!

Na ndiyo maana hata mimi sitaki ndugu yangu asomee chuo hicho maana akishagraduate anakuwa Pro-CCM! Na ukitaka kujua hiki Chuo ni cha CCM kakague CV za Wabunge wa Vyama vya Upinzani uniambie ni wabunge wangapi wamesoma Mzumbe! Hata watano hawafiki!
 
Graduate kwanza......
 
Ila......mido kama kaweka lipstik angalia ya mamake na yeye!
 
Degree ya Kwanza India, Degree ya pili Mzumbe! atakuwa kasomea online ama uchakachuzi tu!

View attachment 43538

Hahaha jamaa wapo dodoma leo hii,vijana wanasema walipitia barabara ya8 na kuchukua kreti 1 ya soda kwa mr.mtei ambaye ni cdm damu,laiti nape na nduguze waliokuwa katika gari aina ya shangingi nyeupe wangejua muuzaji ni cdm damu. Wasingenunua kabisa.
 

Ndugu sisi tunamjadili NAPE si kwa sababu tunamuonea Wivu! La hasha! Tunamsaidi kwa kumpa ushauri pale tunapoona anapotea. Hata kama ameenda Send Off akiwa kavaa Sketi lazima tumfunde kwamba Sketi sio vazi la kiume! Kuhusu hili la Masters yake baadhi yetu tunataka tuione Dessertation yake maana ni Public Information kwa sasa. Siyo utaratibu kwamba watu wasiokuwa na masters wasihoji Masters za wengine.

 
Hongera kaka Nape. Wenye wivu wajinyonge kwenye tawi la mpapai!
 

Nape yupi unayemzungumzia? akipata Phd mimi naacha kazi yangu ya uhadhiri...

Ndio maana products za vyuo siku hizi ni ovyo, muhadhiri gani hata kuandika hufuati sheria za kiuandishi? Baada ya kiulizo weka herufi kubwa.
 

Wivu ni human nature, kila mmoja ana wivu isipokuwa mbaya ni pale mtu unapokuwa na wivu wa kupindukia. Mwenzio anachofanya unaponda, hata kiwe kizuri vipi! Na hii yote ni kwa kujua kwamba hutaweza kufika pale alipo, hivyo unajaribu kumshusha ili muwe level moja ya chini.

Tafuta heshima yako kwa kusoma zaidi yake au kufanya chochote kizuri zaidi ya anachokifanya na sio umshushe.

Kwa tunaokaa uswahilini haya mambo yamejaa kweli kweli na yanakera, utakuta jamaa kanunua zake gari badala ya watu kusifu wanaanza ooh jamaa hasalimii, kigari cha mkopo, anaringa sana, wanaanza hata kutega pancha, wanang'oa vifaa ili tu kumrudisha nyuma. Walitakiwa kufight kununua magari mazuri zaidi, (huo ni mfano wa hii issue ya NAPE).
 

Acha uongo KakaKiiza, taxi driver gani anashinda kwenye kiboard? Acha kutania kazi za watu wewe.
 

Ndugu yangu kwanza naomba ujue kwamba Mimi sipo tayari kushindana na NAPE eti kila anachofanya nami nifanye zaidi yake! Hapana! Mi nasukumwa na maono yangu binafsi. Kama ni Masters hata Mimi ntapata by 2013 maana kwa sasa ndio nipo MBA First Year, Second Semister. Swala la Pili kwamba kila anachofanya NAPE mimi naponda si ukweli. Mimi namsahihisha.

Na ndiyo maana hata sasa hivi nang'ang'ania atuletee Dessertation yake. Kwani kuiomba ni kumponda? Au hujui kwamba kwa sasa Dessertation yake ni Public Information na inaweza kutumiwa na mtu yeyote kama reference?
 
Kwa nini na wewe usiweke ya kwako? Majungu si mtaji, Tumbili wee!!!!
 
Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake (japo kiodgo na kwa mara moja) mpeni.

Hongera sana Nnauye Jr.

Hebi jitokeze na uwajibu maswali/worries za wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…