Nape Nnauye

Sasa ukiwadharau Mzumbe, UDSM utawafanya nn? Huo ukilazaa wake unaupima kwa kauli zake za kisisasa au academically. Don't mix up things. Simtetei ila nakutahadharisha kwamba kukurupuka sio kuzuri kwa great thinker (If you are the one, anyway). Ina maana Nape hastahili kupata masters kutoka chuo chochote duniani?
 
mzumbe chama kinatawala sana,viongozi wengi wapo submissive kwa viongozi wa chama-so sishangai huyu kupewa hiyo dgree yake ya pili
 
WW wasema..Mzumbe kitabaki kuwa Chuo chenye heshima yake..kama hufahamu taratibu lazma mwanafunzi ai-defend dissertation yake mbele ya panel bfore haijakubaliwa..that means he did and deserved to graduate!!acha wivu wa kipuuz..:lol:
 
kata kwa maana ipi? ingekuwa chuo cha marekani je? na kwa maantiki hiyo chetu si bora? acheni roho mbaya, nijuavyo mimi wote madomoaya wa kukandia ya wenzenu ndiyo vilaza wa kutupa. hebu twambie chuo ulichosoma weye, nape amesoma shahada ya kwanza india na ya pili mzumbe, wewe wapi????
 

Alistahili kupata masters kutoka 'DODOMA ISLAMIC UNIVERISTY' na siyo Mzumbe!
 
kuna picha moja leo nimeiona kwenye gazeti nadhani mwananchi. Anakabusu katoto manusuru. It was real japo nape simkubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…