DOKEZO Nape,TCRA, DCI na wote wa cyber security mmeshindwa kuumliza huu mtandano wa kopa fasta

DOKEZO Nape,TCRA, DCI na wote wa cyber security mmeshindwa kuumliza huu mtandano wa kopa fasta

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Waziri Nape uko humu wasaidieni watanzania
Screenshot_20221204-131634~2.jpg
Screenshot_20221204-145638.jpg
Screenshot_20221204-131136.jpg
Screenshot_20221204-132832.jpg

USSR
 
Siunsona umerahisisha kupatikana kwao,utaona kama hatua stahki zitachukuliwa.Watu wanaweza kutrakiwa kabisa,lakini wanaachwa.
 
Sasa wewe unailaumu vipi serikali. Watanzania ni watoto wadogo hadi wakakope kipe kipumbavu? Acha waibiwe maana nnachojua masharti ya mkopo wowote ni umri kuanzia miaka 18. Sasa nani huwa anashikiwa bastola akakope? My country people are dumb acha wakombwe
 
Unaona ulivyo na akili kidogo , huu Uzi umekuzidi GPA hapa tunazunguzia cyber security wewe unaleta sijui umri nani kasema hawa waliathirika ni watoto ,tangu lini mtoto akataka mkopo wapi nimesema mkopo ,tumia akili tunawapigania watu wasio elewa huu utapeli

USSR
 
Sasa wewe unailaumu vipi serikali. Watanzania ni watoto wadogo hadi wakakope kipe kipumbavu? Acha waibiwe maana nnachojua masharti ya mkopo wowote ni umri kuanzia miaka 18. Sasa nani huwa anashikiwa bastola akakope? My country people are dumb acha wakombwe
Nimegundua hakuna kazi ngumu kama kuelimisha wajinga kwa sababu Waswahili wanakuambia Wajinga Hawaishi na wazungu wanakuambia suckers are BORN every minute. Ukitaka kufanikiwa haraka wekeza kwa wajinga. Wajinga ndio waliwao
 
Unakopaje online? Unafanyaje transactions za mikopo kwa mtandao? Hata kichaa angesanuka. Watu wanaibiwa kijinga wanakuja kufoka foka mitandaoni. Kwani financial institutions zenye ofisi zimepakwa kinyesi nje?
 
Nimegundua unakichwa MJI Tena mazito sana nahofu hata kusoma hukusoma

USSR
 
Nimekwambia Mimi au watanzania wasio na uelewa wanibiwa ,dada uwe unasoma na kuelewa au na wewe ni tapeli unakuna kuwatetea hapa

Watanzania wanaibiwa wanadanganywa mikopo ya online Kisha wanakimbiwa ,wewe ni kiazi soma uelewa wapi nimesema nikiomba mkopo this is voice for voiceless

USSR
Na mimi ndo nakwambia hao voiceless sio kwamba hawajui. Wewe unakopaje hela online kwenye kampuni ambayo hujawahi hata kuiskia! Unaniita tapeli nimewatetea wapi? Wewe na hao wanaokuja kutapeli watu mitandaoni na wakopaji wote ni wajinga. Mjinga ni mjinga tu!! Unataka serikali ifanye nini? Kwasababu mtu analizwa ila
Ikija kampuni nyingine bado anakopa!
 
Wewe mwenye elimu kiswahili tu kinakushinda.
Kiswahili gani ulichonacho hata I'd tu umeandika upuuzi mtuu unaunganisha majina unajiita unajua kiswahili eti mpendaamani ndio upuuzi gani

USSR
Screenshot_20221204-164428.jpg
 
Kiswahili gani ulichonacho hata I'd tu umeandika upuuzi mtuu unaunganisha majina unajiita unajua kiswahili eti mpendaamani ndio upuuzi gani

USSR View attachment 2435717
You’re one of the dumbest creatures I’ve ever encountered. Unakuta umemaliza chuo in the recent three years basi unajiona msomi.

Utakuta familia yako ina upumbavu wameibiwa ndo maana unakuja kufoka foka humu. Umewahi kuona wapi mkopo unatolewa in 30 minutes. We ni form four leaver? Eboo!

Na kuhusu my ID isome unavyotaka kama hiko ni kipimo cha uwezo wa akili then go back to school. You need alot of growing.

Kama kuna wapumbavu wenzio wameibiwa kupitia mtandao undeni kikundi andamaneni hadi ikulu msikitike kwa upumbavu wenu. nincompoop
 
Back
Top Bottom