Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
pole gentleman kwa kadhia,Nape Toka azaliwe Leo ndio kaongea mambo ya msingi
Hata saa mbovu kuna wakati husema ukweliNape Toka azaliwe Leo ndio kaongea mambo ya msingi
Hata saa mbovu kuna wakati husema ukweli
Huu si uungwana hata nusu kijiko!..kwasababu walioguswa ni Ccm.
..unakumbuka wakati ule Spika Ndugai akiwadhalillsha wabunge wa upinzani na kutaja madeni yao?