Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Tanzania imekuwa ni nchi ya kwanza kuweka mtandao katika kilele cha mlima mrefu. Rekodi hiyo imekwa baada ya serikali kuweka mtandao katika kilele cha mlima Kilimanjaro ambalo limeifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo.
Akizungumza katika kongamano la maendeleo ya sekta ya habari 2022, waziri amesema wataongea na Guinness book of record ili kuangalia namna ya kuiweka Tanzania kwenye rekodi ya dunia kwa jambo hilo.
Wasalaam.