Nape akiwa kwenye one and two za kujigamba katika ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, asema CCM haikwepeki, ni kama maji wasipoyanywa wataoga.
Karusha na dogo kwa akina CHADEMA, wanaishia kugombana lakini kiukweli hawana namna, sababu Samia atakuwa Rais tena.
Nape amesema hayo leo, Jumatano Novemba 20.2024 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM uliolenga kufungua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 mkoani Rukwa, hafla iliyofanyika kwenye uwanja wa Sabato, Manispaa ya Sumbawanga
hapa mkoani ccm naona wamekuja na mabasi yamejaza raia sura ngeni kabisa haziendani na mazingira ya hapa mjini unaweza sema ni warundi sijui wanawatoa wapi.