Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Ila ugomvi wa kifisadi ruksa
Mgombea ubunge wa jimbo la Mtama Nape Moses Nnauye amewaasa watanzania kutokushawishika na kununa ugomvi wa kisiasa kwani ni hatari kwa maslahi ya nchi Nape Nnauye ameyasema hayo katika program yake maalumu aliyoianzisha ya kupita kijiwe hadi kijiwe na kuongea na wananchi wa marika mbalimbali kuhusu masuala ya siasa, program hiyo inajulikana kwa jina la Kijiweni na Kaka Mkubwa.

Huyo Nape ni kati ya waliosababisha yote hayo kwa matendo yake ya wizi wa uchaguzi..Nape: Watanzania msinunue ugomvi wa kisiasa
Issue sio kununua ugomv nape!
Mgombea ubunge wa jimbo la Mtama Nape Moses Nnauye amewaasa watanzania kutokushawishika na kununa ugomvi wa kisiasa kwani ni hatari kwa maslahi ya nchi Nape Nnauye ameyasema hayo katika program yake maalumu aliyoianzisha ya kupita kijiwe hadi kijiwe na kuongea na wananchi wa marika mbalimbali kuhusu masuala ya siasa, program hiyo inajulikana kwa jina la Kijiweni na Kaka Mkubwa.
Jana nilipita njia ya kibo kuelekea kimara nikaona maandamano ya kitila mkumbo. Bodaboda wanamchekea chekea kama waxenge. Hii nchi watu wanalalamika mitandaoni tu lakini wakionana na hao viongozi face to face wanakua mafalaNinachoshangaa ni hao watu waliokaa hapo wanamsikiliza.
Wamekaa kabisa kitako wanamsikiliza huyo jamaa?
Watu wana moyo sana.
Mzee wa goli la mkono!