Baada ya serengeti boys kutolewa hatujamslkia tena mheshimiwa nape
hivi karibuni baada ya timu ya taifa ya vijana kubakisha mechi moja ili kufuzu michuano ya mataifa ya afrika kwa vijana.tulimshuhudia mheshimiwa nape akiibuka na kutoa ahadi kemkem ikiwa ni pamoja na kula nao chakula cha mchana lkn cha kushangaza baada ya timu kufungwa na kutolewa mashindanoni ni km aliitekekeza maanahatukumskia mheshimiwa nape hta akitoa pole kwa vijana badala yake tuliona tff ndyo wakihangaika hta kuwaweka sawa kisaikolojia kwani vijana walikuwa wana huzuni sana ,,,,hii tabia ya wanasiasa kutumia michezo km sehem ya kujipatia sifa naona inaota mizizi .... tusubiri cku taifa stars inakaribia kufuzu mataifa afrika ndyo tuwaone akina nape wanaibuka kwa ajili ya kujipatia ujiko ili waonekane wamesaidia timu kufuzu