Hili ni tatizo gani, huwa napenda sana harufu ya mafuta ya taa au disel, nikisikia harufu yake napenda sana. pia napenda sana harufu ya udongo, mfano kama mvua haijanyesha siku nying siku ikinyesha ile harufu ya udongo naipenda sana na hii imenipelekea kula sana udongo, jee hili ni tatizo la nini?