Napenda harufu ya mafuta ya taa na hata disel pia harufu ya udongo

simakoku

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
537
Reaction score
586
Hili ni tatizo gani, huwa napenda sana harufu ya mafuta ya taa au disel, nikisikia harufu yake napenda sana. pia napenda sana harufu ya udongo, mfano kama mvua haijanyesha siku nying siku ikinyesha ile harufu ya udongo naipenda sana na hii imenipelekea kula sana udongo, jee hili ni tatizo la nini?
 
Kuhusu kula na kupenda udongo huo ni ukosefu wa vitamin. Nenda hospitali.
Mafuta ya taa na diesel ni kama kilevi na ina addiction pia. Tafuta tiba na uepuke kabisa.
 
Watu wa aina yako nawaona mara nyingi wakiombewa kwa TB JOSHUA kupitia emmanuel tv na wengi huwa ni mapepo hufunguliwa/kuwekwa huru.
 
Alright. Inabidi atafute na approach nyingine.
Watu wa aina yako nawaona mara nyingi wakiombewa kwa TB JOSHUA kupitia emmanuel tv na wengi huwa ni mapepo hufunguliwa/kuwekwa huru.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1367033618769.jpg
    77.5 KB · Views: 55
Kuna kipindi flani cha TV kinaitwa strange addiction,wapo wa design kama yako,wanaenda kwa doctor wa saikoloj wanatibiwa wanapata nafuu..ila me naonaga ni mapepo tuu.
Kaombewe kwakweli
 
Kuna kitu kinaitwa.....Pica......just google it....

Dr Preta........
 
hiyo ni pica na inasemekana ni response ya mwili kukosa vitamini fulani. kwa mfano inasemekana wajawazito hula udongo kwa sababu ya kukosa madini chuma. wao wanakuwa hawaelewi ila mwili unaelewa. kwa info zaidi google.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…