Napenda harufu ya Petroli na Diesel

Tasbeeh313

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
1,919
Reaction score
2,054
Habari wakuu,

Sijui ni ugonjwa au udhaifu yaani nikiskia harufu ya petroli yani najisikia burudani yani napenda sana niwe napita maeneo ya sheli au gari nililo panda lipite sheli huwa natoa shingo nje kuskia hii harufu.

Naomba kujua huu ni ugonjwa au ni udhaifu maana sijisikii kukerekwa lakini harufu ya mafuta ya taa sipendi hata kuisikia.

Kama ni ugonjwa je naweza tibu maana mi mwenyewe nakiona kama nina kasoro.



Kuna jamaa nasikia hupenda harufu ya soksi chafu hasaa naye huyu ana element za uchafu mwilini au?

Asanteni sana.
 
Petrol ni kilevi angalia usije ukawa addicted
 
mbwa ndo najua wanapenda soksi chafu ukiacha tu mlangoni haooo wanabeba kwenda kuzichezea
 
Petroleum vapours ni proven carcinogen mkuu. Utapata kansa huko mbele ya safari. Achana na hiyo tabia please.
 

kuna uwezekano mkubwa unasumbuliwa na ugonjwa unaitwa PICA.

huu ni condition ya kupenda vitu ambavyo sio vyakula. utakuletea matatizo mbadala. unaweza kufanyiwa rehabilitation ila kwenye nchi zinaendelea ni gharama kubwa.
 
mkuu lbda ile petroleum ya zaman harufu yake hta mn nilikuwa naipenda tena hadi inaniliwaza nasinzia km teja araf nkfika hme nalala tuu lkn kpnd hiko npo school miaka ya 2000 ila sasa nashangaa ile harufu siisikii tena sijui petrolum za ss hv zpoje hta harufu yake siipend tena wala haina stimu kbs km ya miaka ile
 

shi shaaaaaaaaaa
 
pica ni hali ya ubongo kutamani vitu ambavyo sio chakula.

Neno Pica linatoka kwa ndege anayeitwa Pica, anayeishi nchi za Brazil.

Ndege huyu hula chochote kila ili kuishi, iwe mzoga, majani, takataka n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…