Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga tunaangalia mambo yetu tu, hatuna taimu na mambo ya timu nyingine. Kazi hiyo mwulize Ahmed Ali na Simba yake ndio wanahangaika na mambo ya timu nyingine na kusahau ya kwao.Ikatokea Simba na Mamelody wamepangwa group 1 au wanakutana robo fainali au vyovyote vile.
Je Yanga mtamshangilia nani?
Kwani mamelodi kawakosea nini jameni?Nitakuwa Simba very easy question angalau Simba ashawahi kuniachia wire 5 nikatabasam
Kwani ni lazima kushangilia timu hata kama huipendi?Ikatokea Simba na Mamelodi Sundowns wamepangwa group 1 au wanakutana robo fainali au vyovyote vile.
Je, Yanga mtamshangilia nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watakua at the river between....