Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
huwaambii kitu kuhusu kina gabo zagamba😅😅😅Hizi move wadada wa kazi wanazipanda sana
😅😅😅😅daaah hii bongoNa kiingereza kinachotumika kuandika humo kwenye muvi,ni aibu Sana. Wangekuwa hata wanauliza kabla ya kuandika
Ni vile ilimradi mambo yaende,Na kiingereza kinachotumika kuandika humo kwenye muvi,ni aibu Sana. Wangekuwa hata wanauliza kabla ya kuandika
🤣🤣🤣🤣Ni vile ilimradi mambo yaende,