Stop being a
NICE GUY broh.
Mkeo ameshajua kwamba huwezi kumuacha na ndio maana suala la kuachwa kwake sio tishio kwa sababu anajua haliwezi kutokea na hauwezi kumuacha.
Atatishika kwa jambo ambalo anaju fika unaweza kifanya na lipo ndani ya uwezo wako,na bila shaka jambo ambalo liko ndani ya uwezo wako ni wewe kuendelea kumng'ang'ania yeye 😁 so hawezi kutishika kamwe.
AnZa kuwa mwanaume haswa ambaye unasema kwa vitendo na sio unakuwa na maneno mengi ambayo ni sifa ya wanawake.
Akifanya jambo ambalo haulipendi mwambie direct kwamba hili unalolifanya silitaki kwa sababu hii na hii,ila ataendelea kubisha kwa sababu anajua hautaweza kumfanya kitu.
THE BEST SPLUTION KWAKO ni kwamba MPIGE CHINI,this is the worst advice I have to give you sio kwa ubaya ni kwa wema tu.
THAMANI YAKO KWA MWANANMKE ni akuheshimu,na huyo dada ameshalose interest kwako.
Wewe sio mwanaume anayekuheshimu tena umekuwa toooo nice kwake kiasi kwamba anakuona unamhitaji sana yeye kuliko anavyokuhitaji wewe.
Siku moja muite na umuambie kwamba kuanzia leo mimi na wewe basi kwa sababu ya matukio haya haya na haya.
Then usisikilize chochote kwake na muamuru aondoke(labda awe shuga mamy na upo kimaslahi).
Kufanya hivyo kutakuwa na faida kwako kwa sababu kam hatorudi maana yake si ALIKUWA HAKUPENDI ?
na kama kirudi kwa kuomba msamaha maana yake atarudi akiwa mpya tayari japokuwa usikubali msamaha kirahisi.
KITU CHA MWISHO ; acha kudhani kwamba bila yeye hautaishi,kuna wanawake wazuri wa sura na tabia wapo kibao kwa nini yrye akusumbue mjomba ?
Unadhani huyo kaumbwa kwa ajili yako tu au wewe umeumbwa kwa ajiki yake ?
ANza kuwa mwanaaume halisi na the best thing you can do kwake ni kumpiga chini,huyo ameshakudharau vya kutisha sana,now anakuona ni nice guy huna lolote ni mdhaifu.
Mpige chini.
The less
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you give,the more
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you get.