King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
Wakuu na wataalam wa lugha yetu ipi ni kauli sahihi inyapaswa kutumiwa kati ya hizo mbili, mara nyingi nimewasikia viongozi akiwemo waziri wetu mkuu wakipenda sana kuitumia kauli moja kati ya hizo" waziri mkuu yeye husema NAPENDA KUCHUKUA NAFASI, Spika wa Bunge la JMT, nae pia hupenda kusema " napenda kuchukua nafasi hii" Je ipi ni sahihi? Napenda kutumia ama Napenda Luchukua?