Napenda kufahamishwa zaidi kuhusu TaESA

Napenda kufahamishwa zaidi kuhusu TaESA

ibrah20

New Member
Joined
Oct 28, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Habari zenu wapendwa katika bwana, Napenda kufahamu zaidi kuhusu TaESA

1. Baada ya registration kukamilika ni process gani zinafanyika mpaka unachaguliwa, namanisha kunakufanya interview au amna? Kwamba ukishajisajili kwenye nafsi ako then unasubria kupata bahati ya kuchaguliwa au inakuwaje?

2. Ni kwa mda gani hii TaSA unakuwa kwenye mkataba nayo?
 
Baada ya registration, unatakiwa ubook training ukishafanya training, kuna Amptitude test yao ya online itabidi uifanye halafu kuna la interview kao watakupiga ukifaulu vyote hivyo sasa ndo uanze subiri wakipata nafasi watakuita..
 
Habari zenu wapendwa katika bwana, Napenda kufahamu zaidi kuhusu TaESA

1. Baada ya registration kukamilika ni process gani zinafanyika mpaka unachaguliwa, namanisha kunakufanya interview au amna? Kwamba ukishajisajili kwenye nafsi ako then unasubria kupata bahati ya kuchaguliwa au inakuwaje?

2. Ni kwa mda gani hii TaSA unakuwa kwenye mkataba nayo?
1. Ukisha kamilisha na kupata registration number unatakiwa kubook for training. Mtafanyiwa training, na kupangiwa ratiba for interview. Incase umefaulu kuna ambao hufanya aptitude test nadhani inategemea. Then utakaa usubiri nafasi zikitokea Taesa watakupigia.

2. Mkataba na Taesa usually ni mwaka mmoja tu unatemwa.
 
Habari zenu wapendwa katika bwana, Napenda kufahamu zaidi kuhusu TaESA

1. Baada ya registration kukamilika ni process gani zinafanyika mpaka unachaguliwa, namanisha kunakufanya interview au amna? Kwamba ukishajisajili kwenye nafsi ako then unasubria kupata bahati ya kuchaguliwa au inakuwaje?

2. Ni kwa mda gani hii TaSA unakuwa kwenye mkataba nayo?
Unapoteza muda mdogo wangu, hiyo taasisi watu wana kula mishahara tu, hakuna ajira ya, maana inapitia hapo,
BOT,TRA,BUNGE nk, wanatangsza moja kwa, moja moja, cha msingi fatilia hata kwenye tovuti za, taasisi binafsi, mashirika ya, kimataifa, balozi, kadhaa, nje ya nchi, tafuta konection na watu waliopo kwenye kampuni binafsi nk, fulsa ni chache Sana, sasa mwenye tsarina, ndie mshindi!Hao, taesa,wakiona ajira za BOT au bunge, wataanza kupeana deal na jamaa zao kwanza, hii nchi ilipofika, unaweza ukapata kazi kwa simu moja tu, hskuna interview, unaingia moja kwa moja, na unaweza ukasota hata miaka 10+
 
Back
Top Bottom