Habari zenu wapendwa katika bwana, Napenda kufahamu zaidi kuhusu TaESA
1. Baada ya registration kukamilika ni process gani zinafanyika mpaka unachaguliwa, namanisha kunakufanya interview au amna? Kwamba ukishajisajili kwenye nafsi ako then unasubria kupata bahati ya kuchaguliwa au inakuwaje?
2. Ni kwa mda gani hii TaSA unakuwa kwenye mkataba nayo?
Unapoteza muda mdogo wangu, hiyo taasisi watu wana kula mishahara tu, hakuna ajira ya, maana inapitia hapo,
BOT,TRA,BUNGE nk, wanatangsza moja kwa, moja moja, cha msingi fatilia hata kwenye tovuti za, taasisi binafsi, mashirika ya, kimataifa, balozi, kadhaa, nje ya nchi, tafuta konection na watu waliopo kwenye kampuni binafsi nk, fulsa ni chache Sana, sasa mwenye tsarina, ndie mshindi!Hao, taesa,wakiona ajira za BOT au bunge, wataanza kupeana deal na jamaa zao kwanza, hii nchi ilipofika, unaweza ukapata kazi kwa simu moja tu, hskuna interview, unaingia moja kwa moja, na unaweza ukasota hata miaka 10+