Napenda kufahamu forums za Kenya zilizochangamka

Napenda kufahamu forums za Kenya zilizochangamka

gwa myetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
4,473
Reaction score
4,666
Waungwana samahani nahitaji kufahamu forums za Kenya zenye muundo kama jamiiforums ambayo watu wana toa mada na watu wanatoa comments zao kwa Uhuru, nimepitia ghafla, niaje, kenyamoja hizo zote naona zina habari Ila no comments za watu. Huwa napenda sana mijadala ya wakenya wanavyoshindana kwa hoja. please nisaidieni ni forums zipi zina habari mchanganyiko
 
Sidhani utapata kama Jamii forums, labda uwe ukipitia Kenya trends twitter, hiyo ndiyo forum kubwa zaidi ya wakenya maana kuna wakenya karibu ya milioni tatu mle
 
Back
Top Bottom