Waungwana samahani nahitaji kufahamu forums za Kenya zenye muundo kama jamiiforums ambayo watu wana toa mada na watu wanatoa comments zao kwa Uhuru, nimepitia ghafla, niaje, kenyamoja hizo zote naona zina habari Ila no comments za watu. Huwa napenda sana mijadala ya wakenya wanavyoshindana kwa hoja. please nisaidieni ni forums zipi zina habari mchanganyiko