Napenda kufahamu fursa za kibiashara zinazopatikana Tunduma Mjini

Napenda kufahamu fursa za kibiashara zinazopatikana Tunduma Mjini

Light saber

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
4,368
Reaction score
7,935
Kwa mtaji wa Tsh. milioni moja na Laki 5, nimeamua kuhamia Tunduma ila sijahamisha vimiradi vyangu vidogo vidogo nlivyoanzisha nilipokuwa. Napenda kujua Fursa za kibiashara zinazopatikana Tunduma.

Natanguliza shukurani.
 
Back
Top Bottom