Light saber JF-Expert Member Joined Nov 3, 2017 Posts 4,368 Reaction score 7,935 Jul 30, 2020 #1 Kwa mtaji wa Tsh. milioni moja na Laki 5, nimeamua kuhamia Tunduma ila sijahamisha vimiradi vyangu vidogo vidogo nlivyoanzisha nilipokuwa. Napenda kujua Fursa za kibiashara zinazopatikana Tunduma. Natanguliza shukurani.
Kwa mtaji wa Tsh. milioni moja na Laki 5, nimeamua kuhamia Tunduma ila sijahamisha vimiradi vyangu vidogo vidogo nlivyoanzisha nilipokuwa. Napenda kujua Fursa za kibiashara zinazopatikana Tunduma. Natanguliza shukurani.