Napenda kufahamu GHARAMA za kufyatua PAVEMENTS na kununua. Ipi ni nafuu?

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,625
Reaction score
3,014
Wadau napenda kufahamu GHARAMA za kufyatua PAVEMENTS na kununua. Ipi ni nafuu.

Je kwa kununua bei ya pavement moja ikoje.
 
Nimesoma sijapata bei ya pave moja wekeni bei wakuu
 
Gharama hutegemea na mahitaji na eneo husika pia kama utanunua...ila kama utatengeneza mwenyewe ni vizuri kuokoa gharama nà kupata ubora,...tembeleà handle yetu mitàndaoni kuona zaidi @muriipavingblocks
 
Hivi pavers kabla ya kumwaga mchanga una chimba kwanza na kumwagwa blinding?
 
Naenda nje ya mada. Hii ni nzuri sana, maeneo yenye tofali za kuchoma wanaweza fanya hii
 
Attachments

  • snapins-ai_3624102577840911908.mp4
    6.5 MB
Kwa mkoa wa Dodoma,Dar ukifyatulia nyumbani sqm 1 itagharim sh 17,000. Ukinunua sqm 1 ni sh 18,000/= pia zipo paving blocks za aina tofauti kwa kuzingatia mteja anataka nini.
Kumbe zina bei hivyo...duh so hapo ni kujiandaa na 20k per sqm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…