Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Yaani sisi watanzania bana tumegawanyika katika makundi manne
1.kuna wale weusi tiii hawa wengi manigaaa
2.kuna wale wenye weusi wa kawaida
3.kuna wale Maji ya kunde au wenye rangi ya kahawia
4.alafu kuna wenzetu wale weupe miaka ya zamani tulizoea kuwaita cheupe dawa, wengine zungu la unga
Ivi hawa wenzetu asili yao ni wapi na wametokana na nini mbona wenzetu weupe sie wengine weusi
Sent using Jamii Forums mobile app