Nimesikia bata wanauwezo mkubwa sana kukabiliana na magonjwa na kuwafunga si kazi sana ugumu upo wanapokuwa wadogo,naomba kufahamishwa je ni aina gani za Bata ni Bora kwa mayai na kwa nyama? Na je Bata mzinga nao wanachangamoto gani,maana pia napenda jinsi walivyo.. Je Kuna soko la kuaminika juu ya bidhaa hii? Ahsanteni sana,naomba kuwasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app