1,Bata mzinga niwazuri sana kuwafuga ila chanagamoto kubwa wakiwa vifaranga wanahitaji sana uangalifu maana nirahisi sana kupatwa na magonjwa, Bata hawa wakawaida hawana shida sana juu ya magonjwa, Bata bukuni wao hawana shida sana ya magonjwa ila uzalianaji wao ni mdogo sana kwahiyo kuongezeka kwa haraka huwa ni shida kidogo, kama upo Dar nitakupatia number za wafugaji wakubwa wa bata uwatembelee kwanza ndipo ujue unaweza fuga bata yupi kwa manufaa utakoyo ona yana kufaa ktk ufugaji.