Napenda kufahamu jinsi ya kufuga bata

max prixc

Member
Joined
May 30, 2022
Posts
10
Reaction score
13
Wakuu habari napenda kufanya ufugaji wa bata ila nakwamisha na mazingira niliopo naomba ushauri au hata msaada ili niweze kuongeza kipato kupitia ufugaji huu ninaishi Mombasa nimepanga chumba kimoja namimi napenda ufugaji
 
Mkuu Sasa mbona unatupa mtihani Sana

Umepanga chumba kimoja lakn unataka kufuga

Ufugaji unahtaji eneo kabla ya mtaji nawe eneo huna

Bata msumbufu anakunya na kuchakura hovyo anahtaj umakin Sana hasa suala la usafi

Ushaur tafuta kwanza eneo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu habari napenda kufanya ufugaji wa bata ila nakwamisha na mazingira niliopo naomba ushauri au hata msaada ili niweze kuongeza kipato kupitia ufugaji huu ninaishi Mombasa nimepanga chumba kimoja namimi napenda ufugaji
Km uko serious tafuta jirani mwnyw eneo. Mweleze wazo lako muone namna gan mnaweza shirikiana, yeye atoe eneo wewe utoe bata, malisho na huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…