Sabakher Wanasheria;
Naomba Mnisaidie! Ikitokea Wazaz Wa Mama Yangu {babu na bibi Yangu} Wakafariki! Na Wakati Wa Ufuatiliaji Wa Mirathi Mama Yangu Nae Akafa! Je Katika Ule Mgao Wa Mama Kama Mtoto Na Mim Nitasimama Badala Yake Kisheria Na Kupatiwa Stahik Zake?
Nawasilisha