Napenda kufahamu ulaji wa bamia mbichi unafaida gani kiafya?

shahid365

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
518
Reaction score
420
Habari za mida hii waungwana wa humu waungwana nilikuwa naomba kujua kula bamia mbichi kuna madhara?au kuna faida maana siku hizi nimejikuta napenda kutafuna bamia mbichi.Ahsanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…