Moro,dar,arusha,znz,mbeya,iringa.
si ndio maana nipo hapa mkuu? Hili jiji we achana nalo.moro, iringa, mbeya, arusha ila dar ndio kila kitu tatizo foleni tu
ha ha ha ha. umenichekesha sana tu.ASANTE KUNICHAGULIA. Well, Arusha hasa pale sakina si pabaya........mmmh???? unanijua nini????Mpwa bwana, chagua sehemu moja kati ya hizi: Moro,dar,arusha,znz,mbeya,iringa. Naomba nikuchagulie Arusha, Sakina.
eeeh sasa utahemea wapi tena:becky: hata ukikapata unakuwa na wasiwasi linaweza shuka la mgongoni paaaaaaaa:becky:
Habarini wandugu!
"Je wewe ungependa kuishi mkoa gani hapa Tanzania ukiwa na mpenzi au familia yako hata kama hujabahatika kuishi huko na ni sababu gani zinakupelekea kuupenda huo mkoa na ukapenda kuishi na mpenzi wako ama familia yako na ukajiona mwenye furaha maishani?"
Mimi ningependa saaaana kuishi Mwanza na Mpenzi wangu na sababu hasa ni wale samaki na mndhari nzuri ya Mwanza!