Mimi katika safiri safiri yangu katika mikoa mingi ya nchi yetu niliipenda sana Mbeya ikifuatiwa na Iringa kutokana na hali ya hewa na pia bei za Vyakula ambazo wakati huo zilikuwa poa sana ukilinganisha na Dar. Njombe hata mimi nilikupenda sana.
naipenda sana Lushoto ila ile road yake ndo naigopa.Tanga.......with someone special
Moro, Dom, Kilimanjaro!! Tanga(Lushoto)Sipingi hilo ila ungependa kuishi wapi
naipenda sana Lushoto ila ile road yake ndo naigopa.
Tanga.......with someone special