Napenda kujitambulisha kama New Member

Napenda kujitambulisha kama New Member

Humu ndani Kuna wakuu wa vyombo mbalimbali hivyo kuwa na nidhamu kwenye uandishi usiache herufi na usiandike maneno kifupi..yangu NI hayo tu zingatia kanuni, taratibu na sheria.
 
Wakuu naomba mnisaidie kivipi unaweza pata ufaulu wa one ya 3 form 6 combi ya pcm naomba njia
 
Back
Top Bottom