P Packson Member Joined Dec 14, 2012 Posts 8 Reaction score 2 Feb 21, 2013 #1 Hivi shanga zina mchango gani katika shughuli nzima ya mapenzi na huwa zinamtia nani zaidi mzuka kati ya mwanamke na mwanaume
Hivi shanga zina mchango gani katika shughuli nzima ya mapenzi na huwa zinamtia nani zaidi mzuka kati ya mwanamke na mwanaume
prianka JF-Expert Member Joined Aug 29, 2012 Posts 684 Reaction score 168 Feb 21, 2013 #2 zina kazi nyingi hasa kutiana nyegezi kwa wote wawili
P Packson Member Joined Dec 14, 2012 Posts 8 Reaction score 2 Feb 21, 2013 Thread starter #4 acha izo mambo kijana,nani avae shanga wewe
charger JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 2,320 Reaction score 1,371 Feb 21, 2013 #5 Hivi wazungu wanavaaga shanga?
promiseme JF-Expert Member Joined Mar 15, 2010 Posts 2,707 Reaction score 932 Feb 21, 2013 #6 Tamu ya chai sukari....
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,392 Feb 21, 2013 #7 charger said: Hivi wazungu wanavaaga shanga? Click to expand... Charger; wazungu hawavai shanga. Lakini baadhi ya makabila hapa kwetu wanavaa shanga. na zina maana kwao wavaaji.
charger said: Hivi wazungu wanavaaga shanga? Click to expand... Charger; wazungu hawavai shanga. Lakini baadhi ya makabila hapa kwetu wanavaa shanga. na zina maana kwao wavaaji.
mutisya mutambu JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 208 Reaction score 82 Feb 21, 2013 #8 Mwanamke ndie anapata raha lakini inategemea na jamaa anavyojua kuzitumia....
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,930 Reaction score 2,565 Feb 21, 2013 #9 Uchafu.......
R raia_mwema JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 479 Reaction score 314 Feb 21, 2013 #10 mutisya mutambu said: Mwanamke ndie anapata raha lakini inategemea na jamaa anavyojua kuzitumia.... Click to expand... nipe darasa hata pm namna zinavyotumika
mutisya mutambu said: Mwanamke ndie anapata raha lakini inategemea na jamaa anavyojua kuzitumia.... Click to expand... nipe darasa hata pm namna zinavyotumika
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Feb 21, 2013 #11 Kwani raha ya hereni nini?
charger JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 2,320 Reaction score 1,371 Feb 21, 2013 #12 Asante sana happines Win ningechemsha aisee, nasafari ya kwenda kwa wazungu nilitaka nipeleke zawadi ya hizo shanga kumbe wangenishangaa
Asante sana happines Win ningechemsha aisee, nasafari ya kwenda kwa wazungu nilitaka nipeleke zawadi ya hizo shanga kumbe wangenishangaa
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Feb 21, 2013 #13 Kongosho said: Kwani raha ya hereni nini? Click to expand... Teh! raha ya hereni ni kama tu raha ya bangili na cheni.......!!!!
Kongosho said: Kwani raha ya hereni nini? Click to expand... Teh! raha ya hereni ni kama tu raha ya bangili na cheni.......!!!!
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,515 Reaction score 28,506 Feb 21, 2013 #14 Wakati wa zungushazungusha zikilia chingiliiiiii...ile sauti huwa inatia mzuka sana kwa wanaume....
Mo_love1 Member Joined Feb 18, 2013 Posts 17 Reaction score 2 Feb 21, 2013 #15 Ah!kumbe raha za shanga zilie chingiiili i i i?dah!nlikuwa cjui CHINGILIIIIIIII
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Feb 21, 2013 #16 Sasa huyu anauliza nini?v Evelyn Salt said: Teh! raha ya hereni ni kama tu raha ya bangili na cheni.......!!!! Click to expand...
Sasa huyu anauliza nini?v Evelyn Salt said: Teh! raha ya hereni ni kama tu raha ya bangili na cheni.......!!!! Click to expand...
Kipaji Halisi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 2,280 Reaction score 1,363 Feb 21, 2013 #17 ...wanaita chachandu..
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 Feb 21, 2013 #18 Anayejua jinsi zinavyotumika ashuke elimu hiyo
M mahakama ya kazi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 1,520 Reaction score 241 Feb 21, 2013 #19 ni destuli na mila tu.hamna kingine
Django Doer JF-Expert Member Joined Jun 30, 2023 Posts 2,865 Reaction score 5,184 Jul 5, 2024 #20 Amsha amsha