Kwa hiyo card iki expire naweza kuendelea deposit?CRDB na bank nyingine, expire date ukifika ile card haitumiki. Unaenda tawi lililo jirani wanakupa kadi mpya, ila account ile ile.
Laini ya voja sijui ila uwa hazi expire unless usiitumie musa sana. Kama vipi iweke hela ukiweka hela nasikia hawaifungii.
Na mwisho, uko hakuna fursa man tushike mkono wanao uku bado hakueleweki kama ulivoondoka aisee.
Ok.Ndio
Ndio mkuu. Iliyo expire ni card tu ila account ipo active. Unaendelea kuweka tu maokoto.Kwa hiyo card iki expire naweza kuendelea deposit?
AminMungu atasimamia
Napenda kujua tafsiri ya expire date kwenye kadi je? Ikifika muda huo nini kifanyike?
Na kama upo nje ya nchi itakuwaje? Na je? Siku namba yangu ya voda ikifungiwa au akapewa mtu mwingine vipi usalama wa maokoto yangu? Maana yake details zangu namba yangu ya voda inatumika wakati wa ku deposit through remitly.
MAJIBU TAFADHALI
Hiyo expire date ya SIMCARD huwa haina maana yeyote baada ya simcard yako kuwa activate kipindi kile ulipoinunua. Simcard ikishakuwa ACTIVATED tu dakika chache au masaa nachache baada ya kuinunua hiyo expire date yake inakuwa meaningless kwa mtumiaji.Napenda kujua tafsiri ya expire date kwenye kadi je? Ikifika muda huo nini kifanyike?
Na kama upo nje ya nchi itakuwaje? Na je? Siku namba yangu ya voda ikifungiwa au akapewa mtu mwingine vipi usalama wa maokoto yangu? Maana yake details zangu namba yangu ya voda inatumika wakati wa ku deposit through remitly.
MAJIBU TAFADHALI
Shukran sana kwa kunitoa hofuHiyo expire date ya SIMCARD huwa haina maana yeyote baada ya simcard yako kuwa activate kipindi kile ulipoinunua. Simcard ikishakuwa ACTIVATED tu dakika chache au masaa nachache baada ya kuinunua hiyo expire date yake inakuwa meaningless kwa mtumiaji.
Kama huwa hufanyi international calls au texts, Jitahidi kufanyafanya miamala hata midogo midogo, jinunulie salio toka m-pesa, kila baada ya muda fulani simcard haitafungiwa.