Napenda kujua!!!!!!!!!!

Wa aina ya nnayemuwaza sasa hivi!Wewe je.!?
 
atakaenipenda,kunijali,kuniheshim,kupenda na kuwajali ndugu na jamaa zangu,mwenye kupenda maendelea,asiwe na wivu wa kijinga jinga,mwenye kupenda na kujali watoto pamoja na kusaidiana ktk mambo mengi ktk maisha mapoja na ya nyumbani eg kupika,fua {ah ah ah
]kazi ipo lkn zaidi ya yote mcha Mungu na mwenye upendo wa dhati usioisha.
 
:noidea::noidea::noidea:
 
kama nilie naye saivi,....hayupo ila yeye tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…