Inategemea na njia aliyojifungua na kama kuna complications zozote. Kwa ajili ya mahusiano mazuri ingekuwa faida sana kwako kama ungekuwa unampeleka mwenzio hospital na kuonana na daktari.
Mara nyingi kama hakuna complications zozote, siku 40 zinatosha. Zingatia uzazi wa mpango manake haikawii kukatikia.