Napenda kukaribishwa huku

Napenda kukaribishwa huku

ween

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
414
Reaction score
129
Hi
Naitwa ween nimtumiaji mpya wa jamii forum naomba kuelekezwa jinsi ya kuingia jukwaa la din kwan nashndwa kuingia ktk majukwaa yote ya only member pia. Asanten kwa kunisoma nategemea msaada wenu hko
 
Karibu Jamii Forums Ween,hongera kwa kulipenda jukwaa la DINI. Lakini hilo jukwaa mpaka uwasiliane na moderators wakupe access nalo..
 
Wako wap hao watu niwasiliane nao
 
Back
Top Bottom