Karibu Jamii Forums Ween,hongera kwa kulipenda jukwaa la DINI. Lakini hilo jukwaa mpaka uwasiliane na moderators wakupe access nalo..Hi
Naitwa ween nimtumiaji mpya wa jamii forum naomba kuelekezwa jinsi ya kuingia jukwaa la din kwan nashndwa kuingia ktk majukwaa yote ya only member pia. Asanten kwa kunisoma nategemea msaada wenu hko