Napenda kumpikia mpenzi

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
21,329
Reaction score
28,063
Nimekuwa na hulka ya kupenda kumpikia mpenzi/girlfriend. Japo kwa sasa sina ila nikiwa naye huwa namwacha akae halafu mimi napika yeye ale tu.
 
Kitongezeo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huu ni msamiati mpya someni PGO zenu kwa umakini mkubwa ili mjue kitongezeo ni nini na namna ya kukitumia ili msiwe wapweke.
Wasisubiri mpaka wapelekewe PGO na wakili ndio waisome πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wanatakiwa waisome sasa
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…