Napenda kumpikia mpenzi

Nimekuwa na hulka ya kupenda kumpikia mpenzi/girlfriend. Japo kwa sasa sina ila nikiwa naye huwa namwacha akae halafu mimi napika yeye ale tu.
Kwahiyo jimbo linahitaji wagombea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…