Napenda kumtakia kila la heri member financial services, nahisi anapitia magumu kwenye mahusiano...

 
Lengo lako ni zuri kwa binti wa watu?


Tunakutakia kheri.
 
Japo hujaomba vizuri ila ulichokifanya ni kikubwa, lazima akutunuku. Niamini mimi, wanawake wanapenda sana attention kama hizi
 
Ahsante sana mkuu kwa kunitakia heri mimi pamoja na wengine wote wanaopitia situation kama yangu.nakosa hata cha kusema zaidi lakini tunamshukuru Mungu kwa yote.🙏
 
Unatangaza Nia kimya kimyaa... Maelezo meengii 😅☺️☺️😊😊
 
Mke wa 2 dah, nna wivu sitaweza😀😀 na nna uhakika mke mkubwa pia hatopenda umpandishe cheo
Mimi ndio kiboko ya wivu, Kwani kuna mtu hapendi kupandishwa cheo.? 😂
Sasa nikuibie siri, mke wangu mwenyewe anakupenda, anasema ukikubali tu, mahari atatoa yeye.
Anahitaji msaidizi, SHUGHULI ishakuwa nzito.

Akiona hii comment yako atasikitika sana.
 
Just know that she's busy schooling. When the right time at a right moment the wedding lock will bell for her. Namsubiria😊
 
Unatangaza Nia kimya kimyaa... Maelezo meengii 😅☺️☺️😊😊
Imenishangaza kuona wengi wanafikiria hivyo. Inaonyesha ni jinsi gani jamii yetu inaamini kila dalili yoyote ya wema ina nia tofauti na sura ya wema wenyewe ulioonekana hadharani. She is out of my league so siwezi hata kufikiria hilo. Asante...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…