Napenda kupata elimu kama kuna masharti ya kurusha drone za kupiga video Tanzania

Napenda kupata elimu kama kuna masharti ya kurusha drone za kupiga video Tanzania

davetz 23

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
222
Reaction score
333
Niliwahi kusikia kuhusu utaratibu wa kurusha drone lazima uwe na kibali.Je hata nikiwa na drone ndogo za kupiga picha na video binafsi natakiwa kuwa na kibali?
Naomba elimu kidogo kama si kosa kumiliki na kurusha drone ndogo kwa matunizi binafsi
 
Nenda TCAA utatuma maombi, kisha utapewa control number, utalipia utapewa kibali
 
Back
Top Bottom