davetz 23 JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 222 Reaction score 333 Jul 13, 2024 #1 Niliwahi kusikia kuhusu utaratibu wa kurusha drone lazima uwe na kibali.Je hata nikiwa na drone ndogo za kupiga picha na video binafsi natakiwa kuwa na kibali? Naomba elimu kidogo kama si kosa kumiliki na kurusha drone ndogo kwa matunizi binafsi
Niliwahi kusikia kuhusu utaratibu wa kurusha drone lazima uwe na kibali.Je hata nikiwa na drone ndogo za kupiga picha na video binafsi natakiwa kuwa na kibali? Naomba elimu kidogo kama si kosa kumiliki na kurusha drone ndogo kwa matunizi binafsi
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jul 13, 2024 #2 Nenda TCAA utatuma maombi, kisha utapewa control number, utalipia utapewa kibali