Wanajamvi habari za leo? Poleni sana na majukumu ya kujitafutia kipato Lakini poleni sana kwa ndugu walipoteza wapendwa wao kwa ajali ya moto huko Morogoro.
Leo napenda kupata maelezo ya kutosha ya kitaalamu na ya uzoefu kuhusu utengenezaji na usindikaji wa UNGA LISHE kuanzia namna ya uchanganyaji kwa kuzingatia aina za vyakula mpaka uwiano wa kuchanganya. Ahsante