Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Mtu ni roho anayo nafsi na anakaa ndani ya mwili.
Roho na Nafsi vikiumwa na mwili nao unaumwa.
Sikuwahi kufikiri ninaweza kufanya kazi ya kusikiliza wagonjwa na kuwatibia kwa kuwapa matibabu ya dawa na ushauri.
Doctor's skills imenisaidia sana kuanza kupenda ukaribu na watu jambo ambalo sikulipenda awali, but now i love to make eye contact.
Nilipenda maisha ya kujitenga na kukaa peke yangu kwa Masaa Mengi.
Huwa sipati amani kabisa endapo nitazungumza na mgonjwa na mwisho nishindwe kufikia solution ya matatizo yake.
Ikanipelekea kusoma sana vitabu ya Mungu, nimjue binadamu zaidi kupitia huko.
Kwahiyo ninapopata wale wagonjwa walio teseka kwa kipind kidogo nakuwa makini sana na kuchunguza vitu vingi sana niweze kujua chanzo cha tatizo linalomsumbua.
I understand people psychology.
I start to ask abot nightmares and night dreams
Asilimia kubwa ya wagonjwa wa muda mrefu huwa na matatizo yasio ambukizwa.
Yani ni tatizo ambalo mtu kalipata kwa kujitengenezea yeye mwenyewe.
Ushauri unakua sehemu kubwa ya matibabu ya mgonjwa huyo.
Nikianza kumuuliza mgonjwa kuhusu ndoto, unasumbuliwa na ndoto mbaya ?
Akijibu, ndio kuna ndoto napata za kutisha.
I make sure that, i have a time for my patient.
And i ask.. nisimulie ndoto moja.. umeota nini ?
Hapo nakua nachunguza kama tatizo ni la kiroho. kupitia ndoto zake.
Life is spiritual.
Ukipenda niite daktari wa kimwili na kiroho.