Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muungano hauwezi kuvunjika labda CCM ndo ivujike kwanza, hapo ni ndoto za mchana.Wakuu napenda kuuliza , hv Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika , je mikataba ambayo ilisainiwa Kwa idhini ya Tanzania nayo itavunjika ???
Wenye uelewa naomba wanijuze