Napenda kuuliza , endapo Muungano ukavunjika je mikataba nayo itavunjika ??

Gan star

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
379
Reaction score
982
Wakuu napenda kuuliza , hv Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika , je mikataba ambayo ilisainiwa Kwa idhini ya Tanzania nayo itavunjika ???

Wenye uelewa naomba wanijuze
 
Wakuu napenda kuuliza , hv Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika , je mikataba ambayo ilisainiwa Kwa idhini ya Tanzania nayo itavunjika ???

Wenye uelewa naomba wanijuze
Muungano hauwezi kuvunjika labda CCM ndo ivujike kwanza, hapo ni ndoto za mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…