Yasser Kagire
Member
- Apr 12, 2013
- 31
- 21
Bima ya Nhif huwaMimi nilikua mwajiriwa katika kampuni moja Binafsi, na pia nilikua mwanachama katika Mfuko wa Bima Ya Afya ya Nhif. Sasa Niachishwa kazi. Je kuhusu bima yangu Ya Afya nitakua nalipiaje? Maana nilikua nakatwa Asilimia 6 ya mshahara wangu juu kwa juu inalipwa Nhif
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuendelea kuchangia kwa mwaka kiasi fulani hata kama hujaajiriwa.
Zipo rate tofauti tofauti. Labda ungeingia kwenye site ya NHIF au kifika kwenye ofisi zao ungeweza kupata maelezo mazuri.