Napenda kuuliza

Napenda kuuliza

reginahope

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
163
Reaction score
30
Hivi ni baada ya mda gani mimba inaweza kuonekana baada ya sex? Natanguliza shukrani zangu.
 
kama kakupiga bao nyingi siku mlipokutana..inaonekana kesho au keshokutwa...
Jiandae kabisa kutimuliwa hapo home.
 
Kuonekana inategemea na mbegu zenyewe kama ni nzima maana vidume wengine wanakojoa maji moto yasiyo na uhai;Sawasawa!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Polee rafk,jaman tunapendaga madudu lakini matokeo ya dudu yanatupaga mawazo sn,jaman tuache uzinzi
 
inategemea na timing ya mdada mwenyewe...akiamua hata kesho yake inaonekana
 
Polee rafk,jaman tunapendaga madudu lakini matokeo ya dudu yanatupaga mawazo sn,jaman tuache uzinzi

mtu ukiwa mzinzi unafikiri wote ni wazinzi..swali lake lina uhusiano gani na uzinzi?
 
mtu ukiwa mzinzi unafikiri wote ni wazinzi..swali lake lina uhusiano gani na uzinzi?

Lina mahusiano makubwa tena ya karibu tu...kwanini awaze mimba?angekua katika ndoa wala asingepata presha ivo(maana kama ana presha kidogo)na tendo la ngono ndo pekee lilietalo mimba ambalo ukishiriki hauko ndani ya ndoa tunaita uzinzi...kwanza mbona umepaniki?
 
Back
Top Bottom