reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
Ha ha ha pole hapa huwezi kupata jibu labda uende kule kwenye JF Doctor..hv ni baada ya mda gani mimba inaweza kuonekana baada ya sex? natanguliza shukran zangu
Unamaanisha kuonekana kwa kipimo au kwa macho?
Inategemea unaweza kupima kuanzia ile siku unayotajaria kupata hedhi..au kwa vipimo vipya vya kidigital hata siku 4 kabla hedhi unpata majibu sahihi..Ikumbukwe its only 99% sure!kwa vipimo
Kuonekana inategemea na mbegu zenyewe kama ni nzima maana vidume wengine wanakojoa maji moto yasiyo na uhai;Sawasawa!.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Polee rafk,jaman tunapendaga madudu lakini matokeo ya dudu yanatupaga mawazo sn,jaman tuache uzinzi
mtu ukiwa mzinzi unafikiri wote ni wazinzi..swali lake lina uhusiano gani na uzinzi?