Veta na UCC wana short course ya Computer maintenance.Jamani wakubwa humu ndani, mimi mwenzenu napenda kuwa mtaalam wa "Computer maintenance "..
Nilitaka kumueleza the same ila nilikosa maneno yenye kufikisha ujumbe huu.Moja ya vitu easy katka IT ni maintenance , updation , na pia installation,
sabab unaweza kujifunza easy tu
Hii ni kweli miaka ya 90, ati viras mkuu, simu yako au computer yako iweke Auto spell checkerNilitaka kumueleza the same ila nilikosa maneno yenye kufikisha ujumbe huu.
Kifupi ni kazi iliyokuwa ikinilipa sana huko miaka ya 90 kabla ya kuja hawa mafundi wa mwendo kasi... kufomat na kuinstall buku 5[emoji16][emoji16][emoji16] ati viras free.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii
Hii ni kweli miaka ya 90, ati viras mkuu, simu yako au computer yako iweke Auto spell checker
mbona rahic tu boss kama na wataalam au shinda na fundi kama upo dsm njoo machinga complex nikunoeJamani wakubwa humu ndani, mimi mwenzenu napenda kuwa mtaalam wa "Computer maintenance "
Sema sijapitia chuo labda kusoma elimu hii ya computer, lakini naijuia kuitumia kwa kiasi fulani (sio mjuzi sana)
Sasa nawauliza nyie kama wataalamu wa haya mambo nifanyeje ili. Niweze ku-master ujuzi katika kufanya repairment katika "software" pamoja na "hardware"
Karibuni wakuu, nipo serious ushauri wako ni muhimu kwangu